Showing posts sorted by relevance for query Ghafla. Sort by date Show all posts
Showing posts sorted by relevance for query Ghafla. Sort by date Show all posts

Saturday, August 14, 2021

Silali leo by Ghafla lyrics

Silali leo

Ghafla

GENRE
Rap
Intro
Yeeah
E.J
Billnas Billnas
(Dobe Pro)

Verse 1 (Ghafla)
Naona warembo shanga nje utafikiri promotion
Wanangu wanaruka hewani wanahitaji location
Nyuzi joti kumi na tano kaskazini msinichoshe
Ni A city baridi kali sihitaji more question
Na roll town na kibegi
Napoa mtaani na viben
Mshiko bado ni vichenchi
Kuna roho flani hazijengi
Kichwani nina para halafu sio billgate
Waliokuwa hawanitafuti ndo wanadai nime change
Harakati za kala okoa mtaa kuna rafu
Vinywaji vyetu banana,balimi,nyagi kavu
Nimemeza ma-key
Na demu wangu yuko P
Top ten sipo mi
Na rafiki yake anasema Ghafla okay

Chorus (Billnas)
Njoo usiwaze,nikupange
Ishu ni pesa mtaani hakuna party day
Tukizipata hata sasa inakuwa friday
Tukizichangaga sana mnaleta pai nyie
Hai wee
High way
Tunapita njia ya juu hakuna paa leo
Sibaki nyumbani leo
Mchunge sana mkeo
Tangu mchana anasema na ye halali leo
Silali leo *6
Waambie wenzako na wewe pia hulali leo

Vеrse 2 (Elisha James)
Sio tu Friday hata Monday
Vibe mi Nafanya my way
I go hunting rеst of the days
Kesho Inafaa ijitetee
I wanna rock right now
Tungi juu ya meza sina joke right now
Mifuko inajieleza we don't talk right now
Ni ka Kuna utelezi we don't stop right now
Naja juu kwa juu nimeshachoka matabaka now
Nakuhusu kutoka kuhusu kusota pia nishasahau
Round table na warembo usiniletee jau
Kuja for some cheers and toast Wild n out

Chorus (Billnas)
Njoo usiwaze,nikupange
Ishu ni pesa mtaani hakuna party day
Tukizipata hata sasa inakuwa friday
Tukizichangaga sana mnaleta pai nyie
Hai wee
High way
Tunapita njia ya juu hakuna paa leo
Sibaki nyumbani leo
Mchunge sana mkeo
Tangu mchana anasema na ye halali leo
Silali leo *6
Waambie wenzako na wewe pia hulali leo

Related songs

The Spanish No No SquareEddievrofficial DamagedAster the GEMini Kobaïan DictionaryMagma PinkKonz A piene maniMatia Bazar Woah WoahWild Wes ​threeam.mp3Payton Moormeier Morning SunrisePolarblue SIMPLE NYEY$57 2000 Seasons Talib Kweli

Monday, November 8, 2021

Zamani July by Ghafla lyrics

Zamani July

Ghafla

GENRE
Rap
Turudi miaka ya tisini sitaki kuishi nyumba ya udongo tena
Tabu zote sidhani zina uzito mi siwezi beba
Nidhamu nyingi za woga zimegharimu washkaji watu Vena
Siku hizi kuhusu mitaa marapper wengi huwa hawafanyi tena
Mziki sio biashara njema
Mameneja ndo wanaogawa tenda
Kusikika tu hewani ni mtaji kurekodi sio ishu tena
Kuhusu madj's labda tuseme haiendi bila pesa
Zamani July haikuwa ubinadamu kazi sana nature
Kwa kauli ya hapa kazi basi siku hizi mziki mzuri pesa
Mademu wanauza uchi..tenda
Washkaji wananunua..vyema
Inakuwaje Galla boy mkenya
Ni uzalendo umekushinda au mapichapicha hili game sinema
Tukiacha unafki kiukweli hili game sidhani
Wanaoweza ndo wengi wanafanyia harakati
Vipaji vinafia mtaani wengi waliotoboa wamewekeza pesa
Bonge la entertainer show anahema beat hawezi kwenda
Machizi wengi ndo sisi tunaowakilisha vyema
Kuhusu hizi kiki ndo u-hit ndo ngoma iweze chezwa
Ukiwa unaweza huwezi weka heshima rehani tena
Upige picha za uchi ndo utoke vipi unaweza Zena?
Kiki zinaandikiwa script unataka u-hit je unaweza cheza?
Ndo maana wengi ukiwapa beat hawana kitu zaidi ya one two
Watacheka kidogo zima mziki naimba kavu
Wataimba mstari mmoja mstari wa pili ataanza kucheka tu
Atamgeukia dj twenzetu weka ngoma yangu
I miss you mama,duniani kuna mambo
Wakinianika kwenye ibada sijakamilika tu kama wao
Tatizo ni binadamu akishajua madhaifu yako
Rafiki wanauza siri na mafanikio ndo chanzo
Hadi wanaume wanauza mwili nashukuru Mungu sijambo
Magonjwa yameanikwa njiani na wenye tamaa ndo chambo
Nahitaji amani ya maisha hatuna uadui nipe tano
Nahitaji upendo huenda ikatupa hiyo amani kwa mfano
Nahitaji shibe ya halali asiumie mwingine wa kandoo
Na binti niliyempenda alisema hapa ni pesa yako
Movie kila week na ulipe bili ya viwalo
Hiyo sio aina ya mademu anaowapenda Sam misago?
U-shine ka mimi,U-ride ka mimi
Au useme ka mimi
Namuona yule pale
Zamani July alikuwepo mkali Nesta Marley
Kama hauwezi ni hauwezi tu
Zamani July,kuuenzi huu mwezi iwe sabato July

Others songs from the artist

Silali leoGhafla

Friday, November 26, 2021

Vitani by Ghafla lyrics

Vitani

Ghafla

GENRE
Rap
Chorus

Sitokaa nitasimama ndo nilivyo
Jua ni vita huku mtaa ndo ulingo
Vikwazo vingi ukizubaa tu haupo
Kwenye washindi kwenye mashujaa ndo nilipo
Onyesha upendo uchukiwe ndo ilivyo
Uhai wako utishiwe na ulipo
Nafasi yako waichukue kwa vitisho
Mtaani vitani

Verse 1
Nishaona mshkaji anauza mshkaji akiwa na mshkaji washkaji
Nishaambiwa sikupendi na niliyempenda kisa sikuwa na ganji
Sikuwa na demu wangu kila demu aliniambia ana mshkaji
Salute kwa warembo walionitunuku nilipozidiwa mshkaji
Nilishuhudia mama akilia siku tumelala njaa
Na ndo maana situlii napigana mtaa
Itakuwa sawa usihuzunike mama calm down
Bado naamini napambana im gonna make you proud
Sihitaji crown wala umaarufu kama havileti
Sihitaji ushindani nitabaki mkali kaangalie maandiko
Si naifanya kwa ajili ya watu basi haina tatizo
Nawapa faraja watu wangu mi inanipa mshiko
Siku mwingi ilikuwa studio asubuhi sana kona
Kwenye usaliti kuna njaa usinihesabie vidonda
Mashimo ndani nani ataziba zaidi ya sala unaona
Na tulichopata tulishukuru tulizidisha kukomaa

Chorus

Sitokaa nitasimama ndo nilivyo
Jua ni vita huku mtaa ndo ulingo
Vikwazo vingi ukizubaa tu haupo
Kwenye washindi kwenye mashujaa ndo nilipo
Onyesha upendo uchukiwe ndo ilivyo
Uhai wako utishiwe na ulipo
Nafasi yako waichukue kwa vitisho
Mtaani vitani

Verse 2
Bado ni ngumu naona njia na share
Siishi na chuki nasamehe naishia
Upendo utuongoze nilichonacho nawapea
Tangu nakua niliambiwa mitaa itaongea
Safari ndefu mbele giza
Naona nuru wananiziba
Wananizuia ninapopita
Ni kwa imani tu nitafika
Pita mtaani naona vita
Nyuka cheni nyuka sneaker
Kula chocho tu umekwisha
Mwisho wa story
Mara zote ninachotoa huwa ni zaidi ya msosi
Na wakimjua demu wako nae atageuzwa msosi
Sina nao mazoea wanazidisha mkosi
Niko zangu tu mtaa Muzik Tanzania kikosi
Komaa upate umaskini unadhalilisha
Tumezika wengi bila mkwanja hupati tiba
Nimekosa vingi nikikumbuka sipati picha
Hakuna upendo mpaka upate Yeaah pumbavu shida

Chorus

Sitokaa nitasimama ndo nilivyo
Jua ni vita huku mtaa ndo ulingo
Vikwazo vingi ukizubaa tu haupo
Kwenye washindi kwenye mashujaa ndo nilipo
Onyesha upendo uchukiwe ndo ilivyo
Uhai wako utishiwe na ulipo
Nafasi yako waichukue kwa vitisho
Mtaani vitani

Others songs from the artist

Zamani JulyGhafla Silali leoGhafla

Without Me by KIDZ BOP Kids lyrics

Without Me ...